Ufafanuzi msingi wa tagaa katika Kiswahili

: tagaa1tagaa2

tagaa1

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha

  • 1

    enda kwa kujitanuatanua kama mtu mwenye jipu kwenye pachipachi za paja au mkunduni.

Matamshi

tagaa

/taga:/

Ufafanuzi msingi wa tagaa katika Kiswahili

: tagaa1tagaa2

tagaa2

nominoPlural matagaa

Matamshi

tagaa

/taga:/