Ufafanuzi msingi wa tahafifu katika Kiswahili

: tahafifu1tahafifu2

tahafifu1

nomino

 • 1

  hali ya kupungua ukali k.v. wa ugonjwa au adhabu.

  ‘Mgonjwa amepata tahafifu’
  nafuu

Asili

Kar

Matamshi

tahafifu

/tahafifu/

Ufafanuzi msingi wa tahafifu katika Kiswahili

: tahafifu1tahafifu2

tahafifu2

kivumishi

 • 1

  -a kiasi; -a nafuu.

  ‘Bei tahafifu’

Asili

Kar

Matamshi

tahafifu

/tahafifu/