Ufafanuzi wa tahakiki katika Kiswahili

tahakiki

nomino

  • 1

    maelezo yanayochambua maandishi kwa kufafanua mambo mbalimbali yaliyomo.

    uhakiki

Asili

Kar

Matamshi

tahakiki

/tahakiki/