Ufafanuzi wa tahamaki katika Kiswahili

tahamaki

kitenzi sielekezi

  • 1

    shtukia.

    ‘Nilikuwa nikicheza karata, nikitahamaki ni saa kumi’

Asili

Kar

Matamshi

tahamaki

/tahamaki/