Ufafanuzi wa tahayari katika Kiswahili

tahayari

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ona haya baada ya kutenda au kufikwa na jambo la fedheha; ingiwa na soni.

    susuwaa

Asili

Kar

Matamshi

tahayari

/tahayari/