Ufafanuzi wa tahiri katika Kiswahili

tahiri

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    kata govi la mboo ili kichwa chake kiwe wazi.

  • 2

    kata kinembe.

    keketa, tohara

Asili

Kar

Matamshi

tahiri

/tahiri/