Ufafanuzi msingi wa tai katika Kiswahili

: tai1tai2

tai1

nomino

  • 1

    ndege mkubwa mwenye kucha ndefu na kali, ambaye chakula chake kikuu ni mizoga.

Matamshi

tai

/taji/

Ufafanuzi msingi wa tai katika Kiswahili

: tai1tai2

tai2

nomino

  • 1

    kitambaa kilichotengenezwa maalumu kwa kuvaliwa kwenye ukosi wa shati au blauzi na kufungwa fundo mbele ya shingo.

Asili

Kng

Matamshi

tai

/taji/