Ufafanuzi wa taibu! katika Kiswahili

taibu!

kiingizi

  • 1

    tamko la kuonyesha kukubaliana au kupendezwa na jambo.

Asili

Kar

Matamshi

taibu!

/tajibu/