Ufafanuzi wa tairi katika Kiswahili

tairi

nomino

  • 1

    mpira wa nje wa gurudumu la k.v. gari, baiskeli na pikipiki.

Asili

Kng

Matamshi

tairi

/taIri/