Ufafanuzi wa taja katika Kiswahili

taja

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    tamka jina la kitu au mtu.

    methali ‘Ukitaja nyoka shika kigongo’
    sema, dhukuru

Matamshi

taja

/taʄa/