Ufafanuzi wa tajamali katika Kiswahili

tajamali

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya wema, hisani au fadhili.

Asili

Kar

Matamshi

tajamali

/taŹ„amali/