Ufafanuzi msingi wa tajiri katika Kiswahili

: tajiri1tajiri2

tajiri1

nominoPlural majiri

 • 1

  mtu mwenye mali nyingi.

  mkwasi, kizito, lodi

 • 2

  mfanyabiashara

 • 3

  mtu anayeajiri wengine.

  bosi

Matamshi

tajiri

/taʄiri/

Ufafanuzi msingi wa tajiri katika Kiswahili

: tajiri1tajiri2

tajiri2

kivumishi

 • 1

  -enye wingi wa kitu fulani.

  -kwasi

Asili

Kar

Matamshi

tajiri

/taʄiri/