Ufafanuzi msingi wa taka katika Kiswahili

: taka1taka2taka3taka4

taka1

nomino

 • 1

  kitu kinachofanya kitu kingine au mahali kutokuwa safi.

  uchafu, kachara

Ufafanuzi msingi wa taka katika Kiswahili

: taka1taka2taka3taka4

taka2

kitenzi elekezi

 • 1

  kuwa na hamu au haja ya jambo fulani.

  tamani, hitaji

Matamshi

taka

/taka/

Ufafanuzi msingi wa taka katika Kiswahili

: taka1taka2taka3taka4

taka3

kitenzi sielekezi

 • 1

  karibia kuwa jambo fulani.

  ‘Mtoto alitaka kuanguka nikamdaka’

Matamshi

taka

/taka/

Ufafanuzi msingi wa taka katika Kiswahili

: taka1taka2taka3taka4

taka4

nomino

nomino