Ufafanuzi wa takabari katika Kiswahili

takabari

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya jeuri au kiburi na kuona wengine si kitu.

    jiona, jivuna, ringa

Asili

Kar

Matamshi

takabari

/takabari/