Ufafanuzi wa takadamu katika Kiswahili

takadamu

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    anza kufanya jambo kabla ya wengine.

    tangulia, ongoza, diriki, sabiki, amiri

Matamshi

takadamu

/takadamu/