Ufafanuzi wa takbira katika Kiswahili

takbira

nominoPlural takbira

Kidini
 • 1

  Kidini
  tamko la kumtukuza Mwenyezi Mungu katika dini ya Uislamu kwa kusema ‘Allahu Akbar’.

  ‘Soma takbira’
  ‘Leta takbira’
  ‘Toa takbira’

Asili

Kar

Matamshi

takbira

/takbira/