Ufafanuzi wa tako katika Kiswahili

tako

nominoPlural matako

  • 1

    sehemu ya nyuma ya mwili baina ya kiuno na paja inayotumiwa kwa kukalia.

  • 2

    sehemu ya chini ya kitu ambayo hutumiwa, agh. kuwa ni kikalio.

    ‘Tako la bakuli’
    ‘Tako la bunduki’

Matamshi

tako

/takɔ/