Ufafanuzi wa talasimu katika Kiswahili

talasimu

nomino

  • 1

    kipande cha karatasi au ngozi kilicho na maandishi maalumu ambacho huangikwa ukutani au mlangoni na ambacho huaminiwa na baadhi ya watu kuwa ni kinga ya madhara.

    amali, azima, hirizi, kago, dawa, pagao

Asili

Kar

Matamshi

talasimu

/talasimu/