Ufafanuzi wa tamaa katika Kiswahili

tamaa

nominoPlural tamaa

  • 1

    hamu kubwa ya kupata kitu.

    shauku

  • 2

    matarajio ya kupata kitu.

Matamshi

tamaa

/tama:/