Ufafanuzi wa tamalaki katika Kiswahili

tamalaki

kitenzi elekezi

  • 1

    kuwa na mamlaka ya kitu fulani.

    miliki, tawala

Asili

Kar

Matamshi

tamalaki

/tamalaki/