Ufafanuzi wa tamani katika Kiswahili

tamani

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    kuwa na hamu ya kupata kitu; kuwa na tamaa.

    taka

Matamshi

tamani

/tamani/