Ufafanuzi wa tamasha katika Kiswahili

tamasha

nominoPlural matamasha

  • 1

    mambo yanayofanywa ili kusherehekea tukio zuri.

    sherehe, shangwe, shamrashamra

Asili

Kar

Matamshi

tamasha

/tama∫a/