Ufafanuzi wa tamati katika Kiswahili

tamati

nominoPlural tamati

  • 1

    mwisho wa jambo, agh. katika maandishi.

    kikomo, tama, hitimisho

Asili

Kar

Matamshi

tamati

/tamati/