Ufafanuzi wa tamauka katika Kiswahili

tamauka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kosa kuwa na tamaa au matarajio ya kupata kitu; kata tamaa.

Asili

Kar

Matamshi

tamauka

/tamawuka/