Ufafanuzi msingi wa tamba katika Kiswahili

: tamba1tamba2

tamba1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana, ~iwa, ~wa

  • 1

    enda huku na huko kwa kujigamba.

    randa, hanja

Matamshi

tamba

/tamba/

Ufafanuzi msingi wa tamba katika Kiswahili

: tamba1tamba2

tamba2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana, ~iwa, ~wa

  • 1

    toa maelezo ya hadithi.

    simulia

Matamshi

tamba

/tamba/