Ufafanuzi msingi wa tambaa katika Kiswahili

: tambaa1tambaa2

tambaa1 , tambara

nominoPlural matambaa

  • 1

    nguo mbovu iliyochanikachanika au kuchakaa.

Matamshi

tambaa

/tamba:/

Ufafanuzi msingi wa tambaa katika Kiswahili

: tambaa1tambaa2

tambaa2

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    enda kwa kujiburuza k.v. nyoka, mtoto mdogo au mmea.

Matamshi

tambaa

/tamba:/