Ufafanuzi wa tambaza katika Kiswahili

tambaza

kitenzi elekezi

  • 1

    sema kwa kukokoteza maneno kwa taratibu.

  • 2

    ‘Tambaza maneno’
    sambaza

Matamshi

tambaza

/tambaza/