Ufafanuzi msingi wa tambo katika Kiswahili

: tambo1tambo2tambo3

tambo1

nominoPlural tambo, Plural matambo

 • 1

  ufumbaji wa jambo au kitu kusudi kupatikane ufumbuzi wake.

Matamshi

tambo

/tambɔ/

Ufafanuzi msingi wa tambo katika Kiswahili

: tambo1tambo2tambo3

tambo2

nominoPlural tambo, Plural matambo

 • 1

  ukubwa wa kitu au mtu kwa kimo au unene.

  jumbo

Matamshi

tambo

/tambɔ/

Ufafanuzi msingi wa tambo katika Kiswahili

: tambo1tambo2tambo3

tambo3

nominoPlural tambo, Plural matambo

 • 1

  uimara wa kitu au mtu; nguvu ya mtu.

  ‘Mtu wa tambo’

Matamshi

tambo

/tambɔ/