Ufafanuzi wa tambuza katika Kiswahili

tambuza

kitenzi elekezi

  • 1

    fua chuma; fanyiza vitu vya chuma.

Matamshi

tambuza

/tambuza/