Ufafanuzi wa tamka katika Kiswahili

tamka

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    toa sauti inayowakilisha neno.

    sema, nena

Matamshi

tamka

/tamka/