Ufafanuzi wa tamko katika Kiswahili

tamko

nomino

  • 1

    sauti inayowakilisha neno; neno linalosemwa.

    kauli, kalima, tamshi

Matamshi

tamko

/tamkɔ/