Ufafanuzi wa tanabahi katika Kiswahili

tanabahi

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kumbuka kwa kushtukia.

    ‘Nikitanabahi nimekwisha kufika posta’

  • 2

    jiwa tena na fikira ya jambo lililotokea au lililopita.

    kumbuka

Asili

Kar

Matamshi

tanabahi

/tanabahi/