Ufafanuzi wa tandala katika Kiswahili

tandala

nominoPlural tandala

  • 1

    mnyama wa porini jamii ya swala lakini mkubwa kidogo mwenye rangi yenye mchanganyiko wa buluu na kahawia, milia myeupe usoni, pembe zilizosokotana na masikio yaliyosimama.

Matamshi

tandala

/tandala/