Ufafanuzi wa tandiko katika Kiswahili

tandiko

nominoPlural matandiko

  • 1

    nguo inayoshonwa mithili ya mfuko mkubwa unaojazwa pamba, sufi, sponji au vipande vya nguo na hutumiwa kwa kulalia.

    godoro

  • 2

    kitu chochote kinachowekwa kitandani, sakafuni au juu ya mgongo wa mnyama ili mtu aweze kukaa au kulala juu yake.

Matamshi

tandiko

/tandikɔ/