Ufafanuzi wa tangamana katika Kiswahili

tangamana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa katika hali ya kuchanganyika au kuwa pamoja.

    changamana, fungamana

  • 2

    changanyika na watu katika jamii.

    shirikiana, elewana

Matamshi

tangamana

/tangamana/