Ufafanuzi wa tangawizi katika Kiswahili

tangawizi

nomino

  • 1

    mzizi wa mmea wenye majani kama ya ukindu ambao umbo lake ni kama la mzizi wa manjano na hutumika kuwa kiungo kikali katika chakula au kinywaji.

  • 2

    kinywaji kinachotengenezwa kwa kuchemsha unga wa mzizi huu kwenye maji na kutiwa sukari.

Matamshi

tangawizi

/tangawizi/