Ufafanuzi wa tangazo katika Kiswahili

tangazo

nominoPlural matangazo

  • 1

    jambo lililotangazwa.

    ‘Tangazo la serikali’
    ‘Tangazo la biashara’
    ilani, notisi, taarifa

Matamshi

tangazo

/tangazɔ/