Ufafanuzi wa tange katika Kiswahili

tange

nominoPlural tange

  • 1

    msitu uliotemwa ili kutayarisha shamba jipya.

Matamshi

tange

/tangɛ/