Ufafanuzi wa tangi katika Kiswahili

tangi, tanki

nominoPlural matangi

  • 1

    chombo kikubwa kilichotengenezwa kwa bati gumu, chuma, plastiki, n.k. kinachotumiwa kuhifadhia au kuwekea vitu viowevu au gesi.

Asili

Kng

Matamshi

tangi

/tangi/