Ufafanuzi msingi wa tango katika Kiswahili

: tango1tango2tango3

tango1 , tangopepeta

nomino

  • 1

    tunda linaloliwa bichi linalotokana na mmea unaotambaa k.v. mboga au mtikiti.

Matamshi

tango

/tangɔ/

Ufafanuzi msingi wa tango katika Kiswahili

: tango1tango2tango3

tango2

nomino

  • 1

    matembezi ya ovyo au ya kuhangaika; hali ya kutembeatembea ovyo.

Matamshi

tango

/tangɔ/

Ufafanuzi msingi wa tango katika Kiswahili

: tango1tango2tango3

tango3

nomino

  • 1

    muziki wa mtindo wa Kilatino.

Asili

Kng

Matamshi

tango

/tangɔ/