Ufafanuzi wa tangua katika Kiswahili

tangua

kitenzi elekezi

 • 1

  vunja kanuni au maafikiano.

  ‘Tangua ndoa’
  ‘Tangua sheria’
  ‘Tangua udhu’
  ‘Tangua saumu’
  futa, fusahi, batilisha, haramisha

Matamshi

tangua

/tanguwa/