Ufafanuzi wa tanguliza katika Kiswahili

tanguliza

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu fulani kianze kufanyika kabla ya vingine.

    kadimisha

Matamshi

tanguliza

/tanguliza/