Ufafanuzi wa taniboi katika Kiswahili

taniboi

nominoPlural mataniboi

  • 1

    mtu apandishaye na kushusha mizigo katika magari, pia ni msaidizi wa dereva kubadili tairi na kazi nyingine.

    utingo

Asili

Kng

Matamshi

taniboi

/tanibɔji/