Ufafanuzi wa tanji katika Kiswahili

tanji

nominoPlural tanji

  • 1

    tendo la serikali kushika mali ya mtu ili kuiuza kufidia deni analodaiwa.

Matamshi

tanji

/tanʄi/