Ufafanuzi wa tanuwini katika Kiswahili

tanuwini

nominoPlural tanuwini

  • 1

    sauti ya ‘n’ mwishoni mwa neno lenye asili ya Kiarabu k.v. hususan, takriban, mathalan.

Asili

Kar

Matamshi

tanuwini

/tanuwini/