Ufafanuzi wa tanzua katika Kiswahili

tanzua

kitenzi elekezi

  • 1

    toa katika utata.

    tasua, fafanua, pambanua, fasili

  • 2

    fanya jambo lililo gumu liweze kufahamika.

Matamshi

tanzua

/tanzuwa/