Ufafanuzi msingi wa tapa katika Kiswahili

: tapa1tapa2tapa3

tapa1

nomino

  • 1

    jani pana la mti wa mvumo lenye mbale kama za miyaa mwishoni mwake.

Matamshi

tapa

/tapa/

Ufafanuzi msingi wa tapa katika Kiswahili

: tapa1tapa2tapa3

tapa2

nomino

  • 1

    gome kavu la mgomba linalotumika kufungia ugoro.

    mtaba

Matamshi

tapa

/tapa/

Ufafanuzi msingi wa tapa katika Kiswahili

: tapa1tapa2tapa3

tapa3

kitenzi sielekezi

kitenzi sielekezi