Ufafanuzi wa tapanya katika Kiswahili

tapanya

kitenzi elekezi

  • 1

    tupatupa au tumia kitu bila ya mpango.

    tawanya, fumka

  • 2

    tumia kitu kwa fujo; tumia ovyoovyo.

Matamshi

tapanya

/tapaɲa/