Ufafanuzi wa tapia katika Kiswahili

tapia

kitenzi elekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~wa

  • 1

    taka kupata kitu kwa haraka.

    wania

Matamshi

tapia

/tapija/