Ufafanuzi msingi wa tapisha katika Kiswahili

: tapisha1tapisha2

tapisha1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    hitimisha mwari kwa kumpa mizungu ya mwisho.

Matamshi

tapisha

/tapi∫a/

Ufafanuzi msingi wa tapisha katika Kiswahili

: tapisha1tapisha2

tapisha2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    toa uchafu katika shimo la choo.

  • 2

    fanya mtu atoe kitu tumboni alichokwisha kumeza kupitia mdomoni.

Matamshi

tapisha

/tapi∫a/